Dangote Industries Matapeli

Dangote Industries Matapeli

chief bazoka

Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
97
Reaction score
22
Habari wanajamii wiki iliyopita nili apply kazi za dangote industries zilizotangazwa kwenye gazeti la dailly news.leo nimetumiwa sms hii

nakusaidia upate nafasi hii kwa tsh 300,000/ kama utakuwa tayari naomba unitumie laki moja ili nitakapoingia kwenye kikao niweze kupitisha majina yako na tar 09 March 2015 uje na vifuatavyo: original academic certificates, birth certificate,barua ya mzamini awe mtumish serikalini na balance itakayobaki. fanya siri jambo hili.

Nimetumiwa na namba hii 0753679222 anasema yeye ni hr wa dangote industries mtwara.utapeli nje nje kuweni makini wadau
 
Hii ndio Tanzania mdogo wangu kamaliza Nursing katuma barua wizarani kuomba kazi amepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mfanyakazi wa wizara eti atume laki tatu na nusu apangiwe kazi na atapangwa anapotaka

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Noma sana kaka
 
Fikeni Takukuru...afu fuatilieni mirejesho...tutaishia kulalamika kila siku...wengine watakwambia hata takukuru shida...
chukua hatua..
 
hichi kitu nilikihisi tangu zamani lakini nilishindwa kusema sababu sikuwa na uhakika ila kwa sasa inaweza kuwa kweli...

email ya kuaply kazi za dangote ilikua recruittanzania@dangoteprojects.com ikimaanisha website yao wanatumia www.dangoteprojects.com ambayo ipo lakini haina habari yoyote kuhusu kampuni sio contacts wala services ni template tu na ni website ya ajabu.

ukigoogle official website ya dangote ni www.dangote.com ambayo ipo na inakila kitu kuhusu project za dangote!!!!

nachoona ni kuwa waliotuma application kupitia email iliowekwa kwenye gazeti wapo kwenye hatua nzuri tu ya kutapeliwa.... na cha kujiuliza inakuaje gazeti la serikali likatangaza kazi za kitapeli bila kuprove validity yao!!!!!

am stand to be corrected!!!!!
 
Junior. Cux

Inashangaza sana mkuu.utapeli kila kona hata magazeti siyo ya kuamini wao wanaangalia malipo tu.
 
Last edited by a moderator:
sasa hawana style nyingine ya kutapeli?mbona hako kastyle tumeshakazoea....
 
watu wanatumia kila njia kujinufaisha na pesa za wasakatonge,huu sio utafutaj rasmi na sahihi.
 
Hatari saana wadau nimetoka kupitia uzi wa Reborn sasa mkasa ni ulele hatari kwa kua wanajua ma job hunters tupo wengi kitaa basi mijicho yao yote ipo hapo nijinsi gani ituibie sasa hata kibarua mtu hajapata tangu graduation so unategemea hio laki tatu akaibe! Hatari saana wahanga wenzangu
 
hichi kitu nilikihisi tangu zamani lakini nilishindwa kusema sababu sikuwa na uhakika ila kwa sasa inaweza kuwa kweli...

email ya kuaply kazi za dangote ilikua recruittanzania@dangoteprojects.com ikimaanisha website yao wanatumia www.dangoteprojects.com ambayo ipo lakini haina habari yoyote kuhusu kampuni sio contacts wala services ni template tu na ni website ya ajabu.

ukigoogle official website ya dangote ni www.dangote.com ambayo ipo na inakila kitu kuhusu project za dangote!!!!

nachoona ni kuwa waliotuma application kupitia email iliowekwa kwenye gazeti wapo kwenye hatua nzuri tu ya kutapeliwa.... na cha kujiuliza inakuaje gazeti la serikali likatangaza kazi za kitapeli bila kuprove validity yao!!!!!

am stand to be corrected!!!!!

asante kwa kutufungua macho haya matapeli yamefikia hatua ya kutegeneza web site ya kuforge!!!!! tumekwisha
 
Kwa kweli huko tunakokwenda wanajamvi sijui itakuwaje, hawa matapeli wamezidi kuwa wengi kila kunapokucha sasa cha kujiuliza ivi hii serikali inawezaje kuruhusu tangazo feki pasipo kufanya uchunguzi yakinifu kujua ni kweli au ubabaishaji!! Ninaweza kusema serikali ipo kimaslai zaidi.
 
Tapeli mwenye namba hii anaitwa WILSON FELICIAN
 
Fikeni Takukuru...afu fuatilieni mirejesho...tutaishia kulalamika kila siku...wengine watakwambia hata takukuru shida...
chukua hatua..

Mkuu binafsi sioni kama kuna chombo salama hapa nyumbani Tz, icho ulichokisema ni majanga tu ata ukienda kulalama uko utapoteza nguvu zako na mda wako bure.
 
Tapeli mwenye namba hii anaitwa WILSON FELICIAN

Powa mkuu, ila tatizo linakuja mtu anaweza kujisajili na kitambulisho cha mtu mwingine so tunashindwa kulitambua ilo lijizi vzur
 
Back
Top Bottom