Kuna mengi ya kufikiri kuliko kupingana na ukweli... ukipenda kusifia na upende kukosolewa na kuona wapi unakosea. Ni mbaya sana ikiwa wengi wanaona ivi na ukataka kujilazimisha sivyo...
To attract Investors:
Create a realistic
Use social media
Show that there is a substantial – and growing
Specify country strengths
Take a portfolio approach
Tusipingane na Ukweli
Dangote anataka nini hadi atumwe kwa mfano? ulidhani anatumia muda wake kijingajinga ndo akawa mtu Tajiri mkubwa Africa na Tajiri namba moja mwafrica duniani?
huna akili wewe mtu hivi unamjua Dangote? aache kufatilia vikao vya kuinunua arsenal akae na chadema wamtume? huyo presidaa wako tu hawezi kumtuma huyo kiumbe..pumbav sana em futa hii thread
Hivi nyie watu kwa nini hampendi kuambiwa ukweli kila anayewaambia ukweli mnamuona mchochezi kwenu mnataka kusifiwa tuuu hata kama vya uongo ukimaliza kachukue buku 7 yako
huna akili wewe mtu hivi unamjua Dangote? aache kufatilia vikao vya kuinunua arsenal akae na chadema wamtume? huyo presidaa wako tu hawezi kumtuma huyo kiumbe..pumbav sana em futa hii thread