Danganya toto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Danganya toto

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KAKA A TAIFA, Jun 14, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wakati wa uchaguzi wa 2010 serikali kupitia wakala wake dawasco iliipatia kampuni moja ya kichina kazi ya kusambaza bomba maeneo mengi hapa jijini.wakati uchuguzi ulipokuwa unakaribia bomba hizo zilitiririsha maji bila kukoma.cha kushangaza baada tu ya matokeo kutoka yaani november 2011 mpaka leo hii,bomba hizohizo hazidondoshi hata tone la maji.kama hii sio kutufanya tuteme big gee kwa kuonjeshwa karanga ni danganya toto kwa pipi ili mradi alale/atulie
   
Loading...