Ivi kweli kwa tukio kama hilo na sehemu yenyewe ni mtongani ni lakuja kuripotiwa leo? Una msukumo mwingine.wewe kama mwandishi baada ya kusikia kwa mtu umechukua jukum gani? Nadhani kwa mwandishi mzuri akisikia taarifa hakurupuki kuiandika bali anatakiwa kuifatilia ajue chanzo chake na sikuandika kwa hisia zako na kuweka maneno hata usiyoyajua maana yake.
TEH,TEEEEEEEH,Mkuu umenivunja mbavu kweli asbh hii!!kama watakatifu wanauana je sisi makafiri tufanye nini sasa?
hahahahahaa!!! we nouma chalii!!!! hahahahhaa!!!kama watakatifu wanauana je sisi makafiri tufanye nini sasa?