Misemo hii huundwa kwa mantiki ya neno halisi la msingi.Habarini wana jf!
Katika makuzi kila mmoja wetu amekua akiambiwa waheshimu ndugu zako wa damu, maana damu ni nzito kuliko maji! na hakika huu msemo unamake some sense, mpk mtu utakapo kuwa na kuanza kujitambua.
Ukweli usemwe kuna misemo mingine mababu zetu walikunywa gongo mbaya kabisa kupindi wanaiunda. Hasa huu wa damu ni nzito kuliko maji, umewafanya watu wengi sana kuteseka, kudharaulika, kutengwa na wengine hata kujiua.
Neno ndugu linamkanganyiko mkubwa sana hasa kama ukiliamini asilimia 💯. Ndugu wa kweli sio yule wa damu bali ni yule ambaye ajengae mahusiano yenye afya nawe. Kama mtu umuitaye ndugu wa damu na ndo chanzo cha wewe kukosa furaha basi huyo si ndugu! Neno ndugu lapaswa liangaliwe vizuri watu wengi wameingia kwenye matatizo.
Labda zamani, maana kidogo watu walikua na maadili ila sasa ndugu si mpaka awe wa damu. Hakuna maana tena yenye kuthaminisha hilo neno. Hasa tukiangalia watu walivyo telekezwa na kuachwa na hao watu waitwao ndugu wa damu. Kamwe sitakubalina na hii dhana ya damu ni nzito kuliko maji. Hao ndugu ndo watu wa kwanza kukutakia mabaya na kukufanyia fitna usifanikiwe.
Simaanishi ndugu wote ni wabaya, ila huo msemo hauna mantiki kwa generation tuishio sasa.
Hawezi kukuelewaDensity of Blood: 1060 kg/m³
Density of Water: 997 kg/m³
Sikubaze kwenye mantiki mkuu, et uhalisia wa hayo maneno, nimelenga jinsi msemo ulivyo na madhaifu kwenye jamii...Misemo hii huundwa kwa mantiki ya neno halisi la msingi.
Je damu na maji kipi kwa uzani ni kizito kuliko kingine?
Ukitoka hapo sasa anza hizo blah blah zako.
Ndugu ndiyo 'icon' yako ujue.
Hata ukifa leo cha kwanza watu watakachouliza: ... 'hivi ndugu zake wako wapi? '
'Ndugu' ni hadhi ambayo haivuliwi wala kutenguliwa kwa sababu ni watu walio kwenye 'blood line' moja.
Hiyo ya undugu kwa sababu ya misaada ni habari nyingine.
Watu wanaokusaidia ama kuelewana nao ambao siyo ndugu wana majina yao katika jamii huitwa 'marafiki' ama 'ndugu wa nia'.
Facts 💯💯 nyoka ni nyoka tu, haijalishi ni ndugu au mtu baki.Mimi binafsi sina utaratibu wa kuheshimu na kumnafikia mtu mshenzi hata akiwa ndugu yangu wa damu moja nikijua ni mpuuzi kuanzia hapo mimi na yeye basi.
Binafsi huwa sitaki mazoea na watu wapuuzi.
Ndo uhalisia sasaAchana na phizikia!
Unaleta vitu vigumu sana mkuu wakati wanachokiweza wao ni UCHAWA.Density of Blood: 1060 kg/m³
Density of Water: 997 kg/m³
Hata mimi.Mimi binafsi sina utaratibu wa kuheshimu na kumnafikia mtu mshenzi hata akiwa ndugu yangu wa damu moja nikijua ni mpuuzi kuanzia hapo mimi na yeye basi.
Binafsi huwa sitaki mazoea na watu wapuuzi.
Tatizo hamtaki kukubaliana na uhalisi wa maishaHabarini wana JF!
Katika makuzi kila mmoja wetu amekua akiambiwa waheshimu ndugu zako wa damu, maana damu ni nzito kuliko maji! na hakika huu msemo unamake some sense, mpk mtu utakapo kuwa na kuanza kujitambua.
Ukweli usemwe kuna misemo mingine mababu zetu walikunywa gongo mbaya kabisa kupindi wanaiunda. Hasa huu wa damu ni nzito kuliko maji, umewafanya watu wengi sana kuteseka, kudharaulika, kutengwa na wengine hata kujiua.
Neno ndugu linamkanganyiko mkubwa sana hasa kama ukiliamini asilimia. Ndugu wa kweli sio yule wa damu bali ni yule ambaye ajengae mahusiano yenye afya nawe. Kama mtu umuitaye ndugu wa damu na ndo chanzo cha wewe kukosa furaha basi huyo si ndugu! Neno ndugu lapaswa liangaliwe vizuri watu wengi wameingia kwenye matatizo.
Labda zamani, maana kidogo watu walikua na maadili ila sasa ndugu si mpaka awe wa damu. Hakuna maana tena yenye kuthaminisha hilo neno. Hasa tukiangalia watu walivyo telekezwa na kuachwa na hao watu waitwao ndugu wa damu. Kamwe sitakubalina na hii dhana ya damu ni nzito kuliko maji. Hao ndugu ndo watu wa kwanza kukutakia mabaya na kukufanyia fitna usifanikiwe.
Simaanishi ndugu wote ni wabaya, ila huo msemo hauna mantiki kwa generation tuishio sasa.
Wewe ndo umetumia hisia.Tatizo hamtaki kukubaliana na uhalisi wa maisha
Pia ndugu nao ni watu Kama watu wengine wanaweza kufanya lolote
Nafikiri busara inahitajika hapo na sio chuki
Ikumbukwe wewe pia ni ndugu kwa mtu fulan anayelalamika ndugu wabaya
Tumia akili achana na hisia
We're all bad character in someone story