Damu inatoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Damu inatoka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sailor Boy, May 29, 2011.

 1. Sailor Boy

  Sailor Boy Senior Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wana jf nisaidieni nina mpenzi wangu ambae nampenda sana, na tumeishi mda mrefu, kuna tatizo limemtokea hivi karibuni, kila tunapo have sex anatokwa na damu ingawa haumii, je tatizo linaweza likawa nini? nisaidieni
   
 2. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  daktari atakupeni msaada mkubwa sana, mkamuone
   
 3. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Hilo tatizo kitaalamu linaitwa POSTCOITAL BLEEDING, kuna magaonjwa mengi yanayosababisha, ni vigumu kusema tatizo ni nini, kwa sababu inahitaji examinations kuona source of bleeding, nakushauri mpeleke kwa Daktari am-examine, ikiwezekana umpate daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama (Gynaecologist).
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Painless postcoital bleeding inasababishwa na mambo mengi,inaweza ikawa ugonjwa kamavile gonorrhea,chlamydia na mengineyo au akawa na vijiuvimbe(polyps) au hata kansa ya kizazi ila usishtuke sana fanya kama walivyokushauri memba wengine,nenda hospitalini kwaajili ya uchunguzi na vipimo
   
 5. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mpeleke ocean road kama upo bongo akafanye kwanza smear test! maana! ingine anaweza kuwa na umri mdogo via vyake vya uzazi bado havijakomaa
   
 6. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Mkuu fanya uende hospital, mzaha mzaha utumbua usaha....
   
 7. n

  nhassall Senior Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  saa zingine vidonge vya uzazi wa mpango vinasababisha hayo
   
 8. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole sana mpendwa!
  Mpeleke mwenzako hospital mapema kabla tatizo halijawa kubwa
   
 9. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  We mbona unatoa mada mara mbili mbili? Toa mara moja kwa title unayoipenda na yenye mvuto.
   
 10. Sailor Boy

  Sailor Boy Senior Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  je hata sindano za uzazi wa mpanngo inaweza ikasababisha?
   
 11. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wasiliana na dk s akupe dawa koz mchumba ake alikuwa na tatizo hilo ndomana yupo bed rest
  <br />
  <br />
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sipendi kuona dam,wala kusikia stori kuhusu dam ops
   
 13. h

  handeni Member

  #13
  May 29, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana kaka kimbilia haraka hospitalini asikwambie m2 tofauti na ushaur sehemu hiyo ndio yenye starehe zaidi kuliko sehemu nyingine za mwili wa mwanamke.
   
 14. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Acha uzinzi! Subiri muda ukifika, oa..........
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Fata ushauri wahi hsptl
   
 16. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Next time peleka mada yako JF Doctor. Nenda hospitali haraka sana. Next time mambo kama haya yakitokea wewe wakati unauliza yeye unampa hela anwahi hospitali.

  All the best, ujifunze pia kuomba Mungu sometimes ni upepo unawapita tu hamjui.
   
 17. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Wahi kumpeleka hospitali bwana.
   
 18. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ungelikuwa Uganda, ile sheria yao ya ndoa aka "penis order" ingeingilia kati katika hili, haiwezekani atokwe damu then haumiii, yaani raha zilezile tu! nadhani wenye mtoto wao wakijua watakujia juu mkuu
   
Loading...