Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,002
- 2,079
Wazungu Wana kosa gani? Kila kitu unachotumia kimetoka kwao .Kuna wale washabikia siasa humu utawasikia na kauli yao "Mungu wabariki wazungu"
Watu kama hawa,hata hawajui Dunia inavyokwenda.
Umeusoma uzi ukauelewa?Wazungu Wana kosa gani? Kila kitu unachotumia kimetoka kwao .
Hio simu unayotumia ni wao, mavazi ,dawa na vingine vyote
Najua kusoma kwa ufahamu.Umeusoma uzi ukauelewa?
Au umekurupuka tu?
Huna akili wewe,umekuja umejikoki kama Dada poa,Najua kusoma kwa ufahamu.
Nimekujibu wewe unaokebehi wazungu wakati 98% ya vitu unavyotumia vinatoka kwao.
Hao watoto huko congo wanaochimba hizo cobalt ni kutokana na umasikini wa afrika na si vinginevyo .
Umasikini wenyewe umeletwa na fikra duni za viongozi na waafrika wenyewe.
Una experience kubwa ya madada poa hongera.Huna akili wewe,umekuja umejikoki kama Dada poa,
wapi mimi nimekebehi? Mbona unakua mjinga uliyepitiliza?
Haya kaa pembeni sasa coz hata ukifahamishwa hapa sidhani hata kama utaelewa,haya nenda kwa hao wazungu wakakuinamishe.
Baada ya Mungu ni Mzungu.Kuna wale washabikia siasa humu utawasikia na kauli yao "Mungu wabariki wazungu"
Watu kama hawa,hata hawajui Dunia inavyokwenda.
Una experience kubwa ya madada poa hongera.
Huoni ulipokebehi , kumbe unaandika vitu ambavyo hujui umeandika nini.
Utanifahamisha nini unaonekana mtu mzima mwenye akili ya mtoto.
Chuki zako kwao hazitasaidia chochote. Ukishindwa hoja ndio unakimbilia kwenye mawazo ya kuinama sio.
Hakuna kiwanda Cha kimataifa chochote kinachoajiri watoto wachimbe cobalt wala kutoa ajira kwa watoto.
Cobalt inayochibwa na watoto ni maeneo yasiyo rasmi.
Wewe mbumbumbu usiyejua kusoma kwa ufahamu ukakurupuka na reply yako :
"Kuna wale washabikia siasa humu utawasikia na kauli yao "Mungu wabariki wazungu"
Wazungu wanahusika vipi na hao watoto kuchimba cobalt?
Watu kama wewe mpo mpo tu hapa Duniani ili tu kuijaza Dunia tu,ukisikia mzungu unaona ni kama vile ametajwa Mungu wako,yani kusikia tu mzungu kasemwa ukaja mbio na kuanza kuandika haya matapishi yako hapa,Una experience kubwa ya madada poa hongera.
Huoni ulipokebehi , kumbe unaandika vitu ambavyo hujui umeandika nini.
Utanifahamisha nini unaonekana mtu mzima mwenye akili ya mtoto.
Chuki zako kwao hazitasaidia chochote. Ukishindwa hoja ndio unakimbilia kwenye mawazo ya kuinama sio.
Hakuna kiwanda Cha kimataifa chochote kinachoajiri watoto wachimbe cobalt wala kutoa ajira kwa watoto.
Cobalt inayochibwa na watoto ni maeneo yasiyo rasmi.
Wewe mbumbumbu usiyejua kusoma kwa ufahamu ukakurupuka na reply yako :
"Kuna wale washabikia siasa humu utawasikia na kauli yao "Mungu wabariki wazungu"
Wazungu wanahusika vipi na hao watoto kuchimba cobalt?
Wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri na kusoma kwa ufahamu. Mleta mada amelalamikia makampuni makubwa kwa kosa lisilokua lao.Watu kama wewe mpo mpo tu hapa Duniani ili tu kuijaza Dunia tu,ukisikia mzungu unaona ni kama vile ametajwa Mungu wako,yani kusikia tu mzungu kasemwa ukaja mbio na kuanza kuandika haya matapishi yako hapa,
Mashirika ya kutetea haki za watoto na haki za binadamu yalisha toa report kuhusu watoto kutumikishwa huko Congo na makampuni ya wazungu,yalisha toa report kuhusu watoto wanaotumikishwa kwenye mashamba ya Cocoa huko Ghana,
Hivi wewe kwani unaishi Pori gani? Au umeolewa na mzungu ndio maana unatokwa povu kama mgonjwa wa kifafa kisa katajwa mzungu?
Nyie mabinti mnakuaga na ubishi wa kijinga sana,hili gazeti uliloandika hapa halina hata point moja zaidi ya matapishi tu,basi hapo mwenyewe unajiona ni bonge la mchambuzi,Wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri na kusoma kwa ufahamu. Mleta mada amelalamikia makampuni makubwa kwa kosa lisilokua lao.
Wewe ukakurupuka kwa chuki zako kwa wazungu maana hata mada hukuielewa , nikakuuliza swali dogo tu wazungu wanahusika vipi na watoto kufanya hizo kazi za cobalt? Wanawakamata na kuwafanyisha kazi?
Mashirika ya kimataifa kama Amnesty na UNICEF bado ni wazungu hao hao. Amnesty ilishatoa ripoti na kuhimiza uwajibikaji wa serikali ya congo maana wao ndio chanzo kikuu cha haya yote .
Hio cocoa ya Ghana tatizo linabaki palepale ni serikali ya Ghana na sio makampuni makubwa ya cocoa , sababu unauelewa mdogo kama wa sisimizi huwezi kutambua Hilo .
Hakuna sehemu yoyote haya makampuni yanatumikisha watoto wala kutoa ajira kwa watoto .
Wewe mbona ni jitu kubwa lakini umeamua kutumia viungo vingine kufikiri badala ya akili yako.
Wewe huna akili ngoja nikuache.Nyie mabinti mnakuaga na ubishi wa kijinga sana,hili gazeti uliloandika hapa halina hata point moja zaidi ya matapishi tu,basi hapo mwenyewe unajiona ni bonge la mchambuzi,
Ndio maana toka mwanzo nilikwambia kua hujaielewa mada,
Kwani wewe Dada umeolewa na mzungu? Mbona unajidhalilisha kiasi hiki na kuandika pumba isiyoeleweka?
Hebu tumia hata hiyo simu yako kupata maarifa japo kidogo tu.
Wewe unayejua dunia inakokwenda tuambie inakwenda wapi na hasara ni zipi kwa wasiojua inakokwendaKuna wale washabikia siasa humu utawasikia na kauli yao "Mungu wabariki wazungu"
Watu kama hawa,hata hawajui Dunia inavyokwenda.
Naona baada ya kukupa hiyo link umejiona jinsi ulivyo mpumbavu,acha maneno ya bure,kila kitu ulichokua unabisha hapa kipo hapo kwenye hiyo link,Wewe huna akili ngoja nikuache.
Quick temper, Slow mind.