malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,781
- 2,726
Ila 4.2 ni ndogo sana chiefAmalize dozi na atumie Matunda
Ichi kiwango ni sawa Cha damu 4.2 ni sawa kweli sio kwamba kiko chini sana kinahatarisha uhaiAmalize dozi na atumie Matunda
Ni kweli kabisa ni ndogo aisee nilioverlook nikaona kama 6.2..Ila 4.2 ni ndogo sana chief
damu 4.2 sidhani kama angesavaivu. though mimi sio doctor. namfahamu mtu alipoteza maisha akiwa na damu 6 wakati wa ujauzito. awe karibu na madaktari na kama kuna uwezekano wa kuongezwa damu itafaa.Habar wakuu mke wangu kajifungua tar 1/3/2024 Leo tar 23 kaamka kichwa kinaumaa kizungu zungu homa Kali barid Kali,,tukaenda hospital kapimwa kakutwa na damu 4.2.. kapewa dawaferrous sulphate + folic acid tablet ameambiwa anywe 1×2...wadau msaada zaid
Hapana Hana sickle cell...nimtu wamiaka32 mama wa watoto watatuMpeleke hospitali hiyo ni severe anaemia.
Unatembea na maternal hiyo.
Au ana sickle Cell desease.?
Alijifungulia hospitalNi kweli kabisa ni ndogo aisee nilioverlook nikaona kama 6.2..
But japo iko far away kuiconsider kuwa Postpartum Anemia ila kuna maswali inabidi Mtoa mada atupe majibu yake..
-Alijifungulia Nyumbani au Hospitali na Kwa njia Ipi?
-kabla ya Kujifungua Alikuwa ana kiasi gani cha damu?
- Kama ana homa kali inanipa maswali mengi ya Postapartum Infection..
So swali kwa mleta mada Alipojifungua alitoka Damu nyingi? Na Vipi kuhusu Damu kutoka baada ya masaa 24? Alilazwa tena baada ya kutoka damu..?
Naomba kujua Rangi ya Majimaji yatokayo Ukeni yana rangi gani (Colour of lochia) je kuna clot "Kama damu zilizoganda"..
But as ilivyotakiwa alitakiwa Kuwa Amepata angalau unit moja mpaka mbili ya Packed RBC
Ni Hospitali au zahanati?Alijifungulia hospital
Kabla yakujifungua wiki tatu kabla alienda clinic akaambiwa anadamu ndogo
Homa alikua nayo Leo asubuh nabarid kabla yakwenda hospital baada yakupimwa nakupewa dawa angalau Sasa anaskia tu barid kiasi
Mpeleke hospital....Alijifungulia hospital
Kabla yakujifungua wiki tatu kabla alienda clinic akaambiwa anadamu ndogo
Homa alikua nayo Leo asubuh nabarid kabla yakwenda hospital baada yakupimwa nakupewa dawa angalau Sasa anaskia tu barid kiasi
Nihosipital hizi zawakatolikiNi Hospitali au zahanati?
Mrudishe Hospitali kubwa!
Kama utapata Uwezo Hospitali ya Wilaya au Rufaa za Mkoa ni Bora zaidi..
Kuna uwezekano akawa na Maambukizi Ya Baada ya Kujifungua (Postpartum Infection)..
Pia jitahidi Apimwe FBP
Anemia in failure ndio kitu ganiKama ulienda hospitali kuanzia ya mkoa, basi naamini wamemfanyia assessment na wamejiridhisha anaweza kuruhusiwa...
Ila kama umeenda hospitali chini ya hapo, broo mbebe mkeo umpeleke hospitali kuanzia mkoa. Hb ya 4.2 kwa mama anayenyonyesha ni mbaya bora hata angekuwa mjamzito.
Na kwa dalili ulizozisema inaonesha anaelekea kupata Anemia in Failure.
Hata kama mazingira magumu, jitahidi pakikucha kesho afike hospitali kuanzia ya mkoa.
Mpeleke Hospitali ya serkali na nakushauri mpeleke Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Usiku huu huu usilale naye ndaniNihosipital hizi zawakatoliki
Uko mkoa gani mkuu..Nihosipital hizi zawakatoliki
Anaemia in Failure ana maanisha Anaemia Which may Complicate into Heart failure or It has already started to Complicate into...Anemia in failure ndio kitu gani