Damn! Nimelinasa jana wallah!

Katoka Inside your nyumba lazima hii mifugo unailisha vizuri huko kwako.
 
Njoo na uku kwangu unisaidie kuwakamata lakini usije na laptop yako.....
 
Una bahati kidogo tu ungelikosa si unaona kichwa karibia kinachomoka kwenye mtego kama..... inavyochomoka kwenye tundu
 
da limenona hilo ,hiyo nyumba yako ni stoo au makazi maana linaonekana limekula sana mpaka limenenepeana hivyo.
 
Nanih.....nyoka yenye mdomo bila pua wala meno...inavyochomoka kwenye tundu lenye joto,,hasa inapovua gamba???Ahaaaaa
 
wamo bwana, nilisikia makala juzi BBC wazee wakizungumza, mbaya zaidi hadi paka wanapiga.....!
Nanih.....nyoka yenye mdomo bila pua wala meno...inavyochomoka kwenye tundu lenye joto,,hasa inapovua gamba???Ahaaaaa​



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…