Damian Kanuti wa ITV afariki dunia

Ugonjwa wa ini kwa mda mrefu

Source:radio one-Nipashe

Alikuwa ni mtupiaji wa kinywaji sana wakati nikiwa kwenye tasnia ya habari nilibahatika kufanya kazi naye alikuwa mnyaji sana by that time.
 
Kha...!! Nani kaiibua hii habari ya mwezi Machi??
 
Alikuwa ni mtupiaji wa kinywaji sana wakati nikiwa kwenye tasnia ya habari nilibahatika kufanya kazi naye alikuwa mnyaji sana by that time.

mnyaji ndo nini...........?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…