Mr 💰Wazee na vijana wa kizungu waliangaika kugundua jinsi ya kurahisisha maisha kama kutengeneza magari, ndege n.k wazee na vijana wetu wakagundua jinsi ya KUKEKETA WANAWAKE.
Jogging na marathon ni kichaka kipya cha wadangaji kuinteract na madanga.....Leo nilihudhuria leaders pale.
Nilichojifunza, watu wanapenda sana hizi marathon [emoji125]. Lakini pia ukiwa muhudhuriaji wa hizi mbio aisee suala la kuowa litakuwa mtambuka. Kuna wanawake wazuri na mishepu yao hatari. Na wala hawaringi ukitaka ku interact nae fresh kabisa.
Halafu mizigo ipo ndani ya skin tight wakuu ni balaa.
Wazee na wabibi nao wamo si haba...watoto hali kadhalika wamo yaani. Sema nimechoka kinyama nimeshiriki KM 10 na kuna bogi nilishindwa kulipita nilikuwa nakimbia nyuma yao tu, wale sijui wadada wa taasisi gani.
Ngoja nijipange nyingine ikija tena niende.
NB; picha zipo social media za clauz hukoo ukitaka kaangalie ila waliofika wamejionea uumbaji wa Mungu.
Karibu sana kwenye hayo maisha, nina zaidi ya miaka 12 kwenye hayo maisha! Nimefanikiwa ku interact na watu tofauti almost mikoa yote Tanzania na nchi jirani.Leo nilihudhuria leaders pale.
Nilichojifunza, watu wanapenda sana hizi marathon [emoji125]. Lakini pia ukiwa muhudhuriaji wa hizi mbio aisee suala la kuowa litakuwa mtambuka. Kuna wanawake wazuri na mishepu yao hatari. Na wala hawaringi ukitaka ku interact nae fresh kabisa.
Halafu mizigo ipo ndani ya skin tight wakuu ni balaa.
Wazee na wabibi nao wamo si haba...watoto hali kadhalika wamo yaani. Sema nimechoka kinyama nimeshiriki KM 10 na kuna bogi nilishindwa kulipita nilikuwa nakimbia nyuma yao tu, wale sijui wadada wa taasisi gani.
Ngoja nijipange nyingine ikija tena niende.
NB; picha zipo social media za clauz hukoo ukitaka kaangalie ila waliofika wamejionea uumbaji wa Mungu.
Umeelewa mada lakini mkuu?Karibu sana kwenye hayo maisha, nina zaidi ya miaka 12 kwenye hayo maisha! Nimefanikiwa ku interact na watu tofauti almost mikoa yote Tanzania na nchi jirani.
Nina ratiba ya RT ya orodha ya mbio zote kwa mwaka so nachaga mbio zangu 6-12 kwa kila mwaka kwa kuangalia waandaaji kwa maana ya ubora wa mbio
Nimepata marafiki wengi sana kwenye mbio kuliko sehemu yyt ile, krb Kila mkoa ni rundo la marafiki from elite, runners na joggers
Kila ninapo safr nje ya kituo changu cha kazi pamoja na kubeba vifaa vya kazi sisahau vifaa vya mbio.
Nakusihi kama umeanza usiache...kituo kinachofuata ni Kilimarathon 26 Feb, 2023.
Karibu kwenye maisha ya mbio muhimu jua ulichofuata, kuna uchafu wa kila aina!
Amka ukanywe supu ya utumbo naona umeamka nazo....Umeelewa mada lakini mkuu?
Hatupo kanisani hapa ujue😅
Ahsante mkongwe wa marathon [emoji125].Karibu sana kwenye hayo maisha, nina zaidi ya miaka 12 kwenye hayo maisha! Nimefanikiwa ku interact na watu tofauti almost mikoa yote Tanzania na nchi jirani.
Nina ratiba ya RT ya orodha ya mbio zote kwa mwaka so nachaga mbio zangu 6-12 kwa kila mwaka kwa kuangalia waandaaji kwa maana ya ubora wa mbio
Nimepata marafiki wengi sana kwenye mbio kuliko sehemu yyt ile, krb Kila mkoa ni rundo la marafiki from elite, runners na joggers
Kila ninapo safr nje ya kituo changu cha kazi pamoja na kubeba vifaa vya kazi sisahau vifaa vya mbio.
Nakusihi kama umeanza usiache...kituo kinachofuata ni Kilimarathon 26 Feb, 2023.
Karibu kwenye maisha ya mbio muhimu jua ulichofuata, kuna uchafu wa kila aina!
Achana nae boya huyo!Mbona ametoq experience yake fresh nimempata vizuri.
Mtoa mada nimemuelwwa.Mbona ametoq experience yake fresh nimempata vizuri.
Post imejaa uchakataji kuliko hamasa ya mazoeziHapana mkuu.
Nilienda kwa ajili ya marathon [emoji125] mengineyo sikuwa najua yapo ndio yakanishangaza.
Nimepata experience mkuu.