Dunia inaongozwa na misingi/nguzo mikuu minne ambayo ni:
1. Lugha
2.Sarafu
3.Dini na
4.Siasa.
Ili kutoa nafasi ya kuibuka kwa mpinga kristo na kurudi kwa Bwana Yesu kristo, basi nchi za dunia na watu wake wataacha tofauti zao na kuungana na kuwa kitu kimoja, kuweka uniformity kwa kila nguzo. Tunaona
katika lugha
-mataifa ya dunia yameamua kutumia kiingereza kama lugha yao ya mawasiliani.
Katika Sarafu.
-matumizi ya dola yameshika hatamu na kuifanya kuwa sarafu imara na inayokubalika kwa matumizi kila mahali.
Katika siasa.
-kuwa na UN(umoja wa mataifa) ambao mwenyekiti wake hajulikani ni nani? Isipokuaa kuna katibu wake, hapa bila shaka atatoka kiongozi wa kisiasa atakayekuwa na sauti katika ulimwengu mzima na kufanya kuwa na uongozi mmoja kwa dunia yote.
Katika dini.
- HAPA ni ndipo penye kikwazo, kutokana na kila mtu kua na imani yake, lakini 'new world order' wanajaribu kuileta freemanson kuwa dn ya pamoja, ingawa itachukua muda...
na kwa hikii .
[emoji116] [emoji116]
.
Kuna muelekeo wa kufanikiwa.....
.hii ni kutokana na Mtazamo wangu juu ya mwisho wa yote.