Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Jiongeze mkuu. Kama anakuwa mkali ukimuuliza chochote. Basi ujue anaona kama unamsumbua sana..Wadau,
Tushirikishanae wenye uzoefu na wanaojua saikolojia ya mwanamke anaepanga kukupiga kibuti, me kuna dalili zifuatazo nimeziona kwa mpenzi wangu
1. Amekua mkali sana, nikimuuliza jambo lolote
2. Sio muongeaji kama zamani
3. Nikimuelekeza jambo lolote anaona kama namsimanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa kwanza zile alama za bra zinazokuandama![emoji30][emoji30][emoji30]kiburi na Gubu
Ondoa kwanza zile alama za bra zinazokuandama![emoji30][emoji30][emoji30]
Mupe muda kidogo, huenda labda na kitu kinamtatiza.
Kuna Muda hawa wenzetu hawaeleweki huenda kashakuweka kwenye mzani na mtu mwingine kaona hujai...
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Ondoa kwanza zile alama za bra zinazokuandama![emoji30][emoji30][emoji30]
Ni mpenzi au ni mke wako?Wadau,
Tushirikishanae wenye uzoefu na wanaojua saikolojia ya mwanamke anaepanga kukupiga kibuti, me kuna dalili zifuatazo nimeziona kwa mpenzi wangu
1. Amekua mkali sana, nikimuuliza jambo lolote
2. Sio muongeaji kama zamani
3. Nikimuelekeza jambo lolote anaona kama namsimanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau,