Dalili za mimba kwa mifugo yako

Dalili za mimba kwa mifugo yako

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
92
ELIMU KWA WAFUGAJI
Jinsi ya Kumjua mifugo wako Aliyeshika Mimba.


Dalili za Mimba kwa mifugo
  • Haoneshi dalili za joto – Hasimami kwa dume baada ya kupandwa
  • Matiti huongezeka taratibu – Hujiandaa kunyonyesha
  • Tumbo huongezeka ukubwa
  • Huwa mpole na tulivu kuliko kawaida
Kipimo cha Uhakika:
Hakuna joto ndani ya siku 18–21? Inawezekana ameshika mimba.
Kwa uhakika zaidi, wasiliana na daktari wa mifugo kwa uchunguzi wa kitaalamu.

📞 Wasiliana Nasi kwa Ushauri:
Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo

📱 0674740836 | 0792263640
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom