Dalili za jini mahaba

Duh!! vipi kama mtu akiwa nazo zote hizo
 

Yani hata kama kuna ukweli inakuwa kama anabahatisha sasa nani hapo anakosa kupata hata sifa 5 mpaka 10 kwa sifa zote hizo..??
 
Tafuta msaada wa maombi kama una dalili yoyote hapo maana hili jini/pepo nasikia linapukutisha uchumi
 
Mi sababu yoote hiyo unadhani mtu anakosa hata 2,3 katika hizo?

Yoote 9, 10 ina maana ni wanawake tu ndio wanapata jini mahaba, vidume hatupati?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…