Dalili hizi ni za kupendwa ama?

Dalili hizi ni za kupendwa ama?

msd

Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
50
Reaction score
8
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote,,lakini karibuni ameanza kuniambia personal issue nyingi ambazo naweza kusema ni ngumu kwa mwanamke kumwambia mwanaume wa kawaida,pia tunatoka pamoja,tunakula pamoja,lakini cha ajabu mpaka akitongozwa na Mtu huwa ananiambia na ananiomba ushauri,,,Ukweli nimeanza kuvutiwa naye but i respect her a lot.Je wana jamii naombeni msaada ni mambo ya kawaida au ni dalili za kupendwa?
 
Huyu hapa mwingine..hili swala la kuwa na doupt kama unapendwa au haupendwi lishakuwa ugonjwa wa taifa na linasumbua sana vijana,sasa unaomba ushaur kwa watu wasiomjua,watakushauri kwa kubase kwenye hizo factors chache ulizotoa ambazo umevutia upande wako kujifavour,we ndo unamjua bhana judge yourself
 
Una umri gani? Tokea ubalehe hii hali ndio unakutana nayo mara ya kwanza?
 
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote,,lakini karibuni ameanza kuniambia personal issue nyingi ambazo naweza kusema ni ngumu kwa mwanamke kumwambia mwanaume wa kawaida,pia tunatoka pamoja,tunakula pamoja,lakini cha ajabu mpaka akitongozwa na Mtu huwa ananiambia na ananiomba ushauri,,,Ukweli nimeanza kuvutiwa naye but i respect her a lot.Je wana jamii naombeni msaada ni mambo ya kawaida au ni dalili za kupendwa?

Nikulize»je uko na 1.mpenz/mke?
2.una miaka mingap?
3.unataka kuanzisha mahusiano?
4.unataka m2 wa aje?
5.ushawah kuwa na mpenz?
6.mliachana vp?
7.ulishawah kutendwa/kumtenda m2 nk.
ukipata gbu then;
ZIFUATAZO NI DALILI ZA WANAUME WASIOJUA KUTONGOZA:
1.Domo zege.
2.kijasho akimuona bnt anayempenda.
3.moyo kudunda-kasi.
4.miguu kulegea akimuona dem anayempenda.
5.hajiamini mbele ya dem...
»text broken»
 
mbona ya kawaida sana, anafurahia tu uwepo wako kwa wakati huo
 
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote..
Usithubutu kuja kumtongoza kwani huo huenda ukawa mwisho wa urafiki na ukaribu wenu...so far she has been respecting you as a friend...just respect those grounds.

,,lakini karibuni ameanza kuniambia personal issue nyingi ambazo naweza kusema ni ngumu kwa mwanamke kumwambia mwanaume wa kawaida,
Anakueleza kwa kuwa anaamini unamjali na huwezi mwangusha...huo unaoona ni ugumu kwake ni kitu kirahisi kwa kuwa anakuamini.
In short she believes, her secrets are safe with you...

pia tunatoka pamoja,tunakula pamoja,
Close friends normally do this...don't take as a compliment kufanya makorokocho yako....

lakini cha ajabu mpaka akitongozwa na Mtu huwa ananiambia na ananiomba ushauri,,,
Wewe toa ushauri, anaamini uwezo wako wa kufikiri na pengine busara za ndio maana kakufuata...

Ukweli nimeanza kuvutiwa naye but i respect her a lot.Je wana jamii naombeni msaada ni mambo ya kawaida au ni dalili za kupendwa?
I don't think if she does love you rather she likes and respects you...take it from me!
Some people were just ment to be close friends...that's all and you should live with it!!

Nimemaliza!!!
 
Usithubutu kuja kumtongoza kwani huo huenda ukawa mwisho wa urafiki na ukaribu wenu...so far she has been respecting you as a friend...just respect those grounds.

Anakueleza kwa kuwa anaamini unamjali na huwezi mwangusha...huo unaoona ni ugumu kwake ni kitu kirahisi kwa kuwa anakuamini.
In short she believes, her secrets are safe with you...

Close friends normally do this...don't take as a compliment kufanya makorokocho yako....

Wewe toa ushauri, anaamini uwezo wako wa kufikiri na pengine busara za ndio maana kakufuata...

I don't think if she does love you rather she likes and respects you...take it from me!
Some people were just ment to be close friends...that's all and you should live with it!!

Nimemaliza!!!

This is how Great Thinker Do,,,,Thanks kwa mawazo yenye hekima ya hali ya juu.
 
Usithubutu kuja kumtongoza kwani huo huenda ukawa mwisho wa urafiki na ukaribu wenu...so far she has been respecting you as a friend...just respect those grounds.

Anakueleza kwa kuwa anaamini unamjali na huwezi mwangusha...huo unaoona ni ugumu kwake ni kitu kirahisi kwa kuwa anakuamini.
In short she believes, her secrets are safe with you...

Close friends normally do this...don't take as a compliment kufanya makorokocho yako....

Wewe toa ushauri, anaamini uwezo wako wa kufikiri na pengine busara za ndio maana kakufuata...

I don't think if she does love you rather she likes and respects you...take it from me!
Some people were just ment to be close friends...that's all and you should live with it!!

Nimemaliza!!!

shem umemaliza yote. unanidai likes 1000. tatizo ndio hivyo watoto wa kiume ukishawaonesha upendo wanajua ndio vile tena. nilikuwa na rafiki yangu wa karibu sana nikashangaa ghafla sist zake wananiita wifi, kumuuliza kulikoni baba hawa nduguzo! jibu nililopewa mie hoi. kuheshimu limits ni muhimu kwakweli la sivyo atampoteza bila kuamini
 
kama anakwambia hadi watu wanaomtongoza..means anakupenda and she is waiting for u to make a move...ilishawai nitokea enzi nikiwa chuo first yr
 
kama wote si watu wa ndoa basi tangaza ndoa anakufahamu na anakuamini sana , je wewe ila usiome kugonga!! hapana atakukimbia na kukuchukia na wewe anza kumwambia wataka kuoa mtu wa ain ayake!!
 
Wantia aibu ujue...yaani wasahau jina la my darling who happens to be your blood sister lol...

hahahaha, lol, tatizo sist ana jina kama mizizi ya shamba. fanya mpango umbatize bana.
 
halahala mama huyo ndio mwandani wa moyo wangu...weye waona mzizi wa shamba...miye naona kama chocolate...
 
Hapa umeelezea vizuri Mkuu!
Hili tatizo (unapendwa or normal) kujirejea mimi nahisi linasababishwa na UPEO MDOGO/M'BOVU WA KUTAFSIRI MAMBO NA KUUNGANISHA PICHA!
Na hali hii husababishwa na utoto, ushamba na ugwadu wa macho!
Mmh! Sijui muanzisha mada ataingia wapi hapo!
Watu tunatofautiana sana kitabia, unaweza kukaa na rafiki, akakufanyia wema mwingi tu! Akajidai kutongoza ukaharibu kila kitu! Majuto ni mjukuu!
Vile vile unaweza kuwa rafiki akakufanyia utumbo wa kipuuzi mwingi tu! Ukaanza kumchukia, kumbe wala! Mwenzio ndio hajiwezi hivyo.....!
Asije kutafuta formular la mapenz HALIPO KABISAAA!

Huyu hapa mwingine..hili swala la kuwa na doupt kama unapendwa au haupendwi lishakuwa ugonjwa wa taifa na linasumbua sana vijana,sasa unaomba ushaur kwa watu wasiomjua,watakushauri kwa kubase kwenye hizo factors chache ulizotoa ambazo umevutia upande wako kujifavour,we ndo unamjua bhana judge yourself
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom