Dalili 10 za mwanamke msaliti

Daaaah mkuu hakika hapo huwezi kupata usingizi...najua kilichokuuma zaidi ni kule nyuma ambapo wewe huwa hugusi lakini wadau wanapabomoa bila wasiwasi!
 
Hakuna demu anayekosa dalili hizo angalau tatu au nne na kama yupo atakuwa ni malaika
 
Mkuu ni kweli kabisa mengi ulosema
 
Pole sanaa... Wanamla mavi
 
mzee mkubwa mwakatoka nimemtimua dalilizote alikuwanazo sasaivi kawakama kabodaboda nauliyako tuu unajichukulia
 
Wewe unajua leo sisi tulijua mapema ndio maana tunaishi nao kiakili
 
Dalili nyingine ukiona anapenda sana appoinrment kwenye mapenzi ujue mpo wengi. Mfano anachukia sana ukienda kwake bila kumjulisha mapema anatoa povu.
Ni kweli
 
Miss Chaga mbona simuoni
 
Ma#@#@[HASHTAG]#zake[/HASHTAG] siku machale yalipo nicheza sikuangalia tuna miaka zaidi 9.alivyotoka kazini nikamuomba simu yake alikua anabadirisha nguo alichomoka na skin taiti.nikamfukuza nikamdaka nikachukua simu Kwa nguvu .akatembea zake nikachukua vifaa vyake home na simu na pesa nikamperekea kwao ..Kwa ufupi simu ya mwanamke usiishike kama aujapanga kuachana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…