kila la heri mkuu..uko vizuriNdio imeshakuwa hivyo.
Hicho kibao ni photoshop au? Mbona eneo ni lilelile kwa picha zote tatu!!!Sory we na hawa yupi ana miliki jina la huo mtaa?View attachment 532294View attachment 532295
Wakati mwingine tuache kujipa promo zisizo na mana
Ndo mana nkamuliza huyu dalalitzee aliyejifanya mtaa kupewa jina lake, alikuwa hajaona hawa kina mange na masoud walijitengenezea same kibao iweje yy aje adanganye kuwa mtaa umepewa jina lake?Hicho kibao ni photoshop au? Mbona eneo ni lilelile kwa picha zote tatu!!!
we nae mbona mshamba sana...kwani mange na masoud huo mtaa ni wao??? hizo ni editings tu,mbona watu kibao wameandika majina yao na wamepost huko...ukitaka hata wewe weka lako...Ndo mana nkamuliza huyu dalalitzee aliyejifanya mtaa kupewa jina lake, alikuwa hajaona hawa kina mange na masoud walijitengenezea same kibao iweje yy aje adanganye kuwa mtaa umepewa jina lake?
Mshamba mwenyewe, hivi ushaacha kuuza dagaa Siku hizi? By the way hujui kusoma na kuelewa mambo nimemuliza huyo anayejinadi mtaa wa kwake swali ili ajue walioedit ni wengi coz yy kapost kwa maelezo kuwa ni mtaa wake, afu jitahid ulale uwahi wateja wako kesho,mshamba mkubwa ww usiyejua kusoma na kuelewa mambowe nae mbona mshamba sana...kwani mange na masoud huo mtaa ni wao??? hizo ni editings tu,mbona watu kibao wameandika majina yao na wamepost huko...ukitaka hata wewe weka lako...
Yaani nawaza siku nikijichanganya kuingia kwenye anga zako[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] nafwaaaz kwa kichambo chakowe nae mbona mshamba sana...kwani mange na masoud huo mtaa ni wao??? hizo ni editings tu,mbona watu kibao wameandika majina yao na wamepost huko...ukitaka hata wewe weka lako...