Dalali wa chumba cha biashara Mwanza mjini

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Natafuta chumba Mwanza mjini naomba dalali alieko Mwanza anitafute nahitaji chumba pale mwanza mjini makoroboi au karibu na stendi ya zamani Tanganyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza bhana Flem zipo niliuliza juz juz hapa bei zao 6M 7m 10m kwa mwaka ila madalali sasa Dah wanakomaa Kinyama Kuna jengo fulani rumumba limejengwa upande wa ile super market zile flem za barabarani Dalali anasema 40M cash kwa mwaka Bila Aibu afu anakwambia mwaka ujao utalipa 15M kwa mwaka afu 25M anasema ni Yao Ya Kirenba na Kuingilio cha kujiungia apunguzi ata buku afu baba zima limekalia udalali tu pumbavu kabisa.
 
Duh!unakua unauza nn hizo bei jaman!khaa siwapend madalali mm!
 
Milioni 15 hata Kariakoo unapata kumvua MTU sasa mwanza uende ukafanye nini!?
Mwanza bhana Flem zipo niliuliza juz juz hapa bei zao 6M 7m 10m kwa mwaka ila madalali sasa Dah wanakomaa Kinyama Kuna jengo fulani rumumba limejengwa upande wa ile super market zile flem za barabarani Dalali anasema 40M cash kwa mwaka Bila Aibu afu anakwambia mwaka ujao utalipa 15M kwa mwaka afu 25M anasema ni Yao Ya Kirenba na Kuingilio cha kujiungia apunguzi ata buku afu baba zima limekalia udalali tu pumbavu kabisa.

Sent by Diaspora
 
Du kwa bei hizo mtu atapata faida kweli?.labda uwe unauza nyala za serikali.
Madalali wanaharbu sana biashara vile wana tamaa iliyokubuhu.
Mwanza bhana Flem zipo niliuliza juz juz hapa bei zao 6M 7m 10m kwa mwaka ila madalali sasa Dah wanakomaa Kinyama Kuna jengo fulani rumumba limejengwa upande wa ile super market zile flem za barabarani Dalali anasema 40M cash kwa mwaka Bila Aibu afu anakwambia mwaka ujao utalipa 15M kwa mwaka afu 25M anasema ni Yao Ya Kirenba na Kuingilio cha kujiungia apunguzi ata buku afu baba zima limekalia udalali tu pumbavu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom