Wanaruhusiwa kusimamisha abiria? Maana sioni aliyesimama kati atashikilia wapi. Na je wamezuiwa kutumia mabasi? Je kwa wamiliki wa hizo biashara ipi ni faida kwao kutumia hizo canter au bus ?
Hivi gari miaka ya 2009 zilikuwepo sana tu nilikuwa naziona kitunda zinashusha abiria sijui walikuwa wanatokea wapi, labda Kisarawe. Alafu night unazikuta buruguni zinasanya