Duuuuu....pole yao wahanga, ila dala dala za mbagala zizingatie mwendo mzuri, maana kuona maeneo kama konda ya sabasaba (KTM /njia panda ya kwenda mbagala kuu ) aiseee gari huwa zinakimbia afu kuna kona na mteremko mkali sana, huo nimetolea mfano tu wa maeneo tatanishi na yanayoweza let's madhira kwa jamii