Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,451
- 50,186
- Thread starter
- #21
Watu wanaenda kufuatana na mabadiliko ya kimazingira ama teknolojia, sio lazima MTU akae stand masaa kibao kusubiria gari ijae ilihali anahitajika haraka sehemu husika.
Ni kweli mkuu, fikiria mtu anakaa stand kwa dakika 30 anasubiri daladala ijae, wakati huo kuna magari yameachwa yanaunguruma yanatoa moshi mwingi kabisa, watu wanaathirika afya zao bila sababu, kwanini nisichukue bajaji kwa shilingi 2000 niwahi niachane na daladala
