Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Abiria wambea haooo lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
farkhina, na wewe unafagilia uongo?
Mimi Mke wangu simpi simu ya mkono bora awe na simu ya nyumbani kuliko kumpa simu ya mkono. ukimpa mke wako simu ya mkono ujuwe unawapa watu wengine huyo mke wako kama kweli unampenda mke wako bora usimpe simu ya mkono.Wazungu wametuletea balaa yani nikudanganya tu kwenye simu mwingine anaweza kukwambia yuko ofisini kumbe yuko kwenye kifua cha mtu....
Mhhh..Watu hawa.Simu hizi..