hahahaha jf made ma day viva jf,niko kwenye boksi la mida mibovu alafu yange yange wananiangalia nikicheka
wakataka niwataflie daladala laivuu...wote wakaangua kicheko hahahahahah
kali zaidi hiyo mimi mama yangu nguluwe na kama na wewe nguluwe poa tuu
..lakini hiyo ya mgosi babu kubwa....shanga zimepangwa mpaka malizevuu