hahahaaa................. mkuu................. umenikumbusha mbali sana......................... hivi gazeti la sanifu bado liko mitaani??..................
mkuu salute. i real admire the talent of this guy. with cartoon i can laugh the whole day. asante sana mkuu kwa post yako. for sure, you have made my day
hahahaha jf made ma day viva jf,niko kwenye boksi la mida mibovu alafu yange yange wananiangalia nikicheka
wakataka niwataflie daladala laivuu...wote wakaangua kicheko hahahahahah
kali zaidi hiyo mimi mama yangu nguluwe na kama na wewe nguluwe poa tuu
..lakini hiyo ya mgosi babu kubwa....shanga zimepangwa mpaka malizevuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.