Dala dala scandal

Ston Merchant

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
393
Reaction score
103
Jamaa mmoja akiwa kwenye daladala tumbo likamjaa gesi akataka kujamba lkn akaogopa, baada ya kusikia kuna mziki akaamua kuachia vishuzi kulingana na bit ya mziki akijua hakuna anaesikia. Heh..! aliposhuka akashangaa kuona kila mtu anamwangalia kwa mshangao. Akashtuka..! Kumbe mziki aliokua anausikia ulikua kwenye Head Phone zake na wala haukuwa wa daladala. Ndipo akagundua kuwa mishuzi yake yote imesikika na watu.
 
We ston mkali sana. Yaani nimecheka mpaka nikajamba pia. Uzuri nilikuwa peke yangu room
 

Mh!jamaa nouma!!yan bit ya headphone!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…