Daktari Mzuri wa watoto

Daktari Mzuri wa watoto

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,866
Reaction score
1,943
Wadau wa Afya Habari wakuu!
Ninahitaji Wapi Nitapata Daktari bingwa wa Watoto/Hospital ya watoto chini ya Miaka 5,
Nina Mtoto ana Tatizo la Kifua Muda mrefu ni kama inaelekea kuwa Pumu!
Hapa Dar es salaam!
Nipo Tegeta!
 
Dr massawe yupo morocco karibu na jengo la airtel
 
Ahsante Dear!
Boko Sehemu gani?
Boko Magengeni,Boko chama?
Ukiwa unatokea mwenge kwenda bunju ukivuka tu boko kuna sheli kubwa nadhani ni ya lake oil iko upande wa kushoto halafu kuna njia ya lami mkono wako wa kulia ndo unaifata hiyo njia. Kuna vibao pia vimeelekeza Furaha hospital ipo karibu na Moga school
 
Nilitamani sana kuwa bingwa wa magonjwa ya watoto lakini maisha ndo changamoto tu dah
 
Back
Top Bottom