Waliaga jana Kibaha kwa Mathias. Msafara wa ndugu, jamaa, marafiki, wake zake watatu ( walikuwa wanne rasmi), watoto wake wengi sana na wale wanawake wengine wengi tu wanaelekea Dodoma ambapo mwili utawasili Don kwa ndege ya kukodi. Ataagwa Dodoma alikofanya kazi miaka hiyo. Ndipo msafara kuelekea Mwanza ambapo ataagwa tena. Hatimaye wataelekea kuzika ujaluoni. Nimempenda kila mwanamke aliyezaa naye alimjengea na kumwanzishia biashara. Ila nyuma yako watakufuata. Mke wa pili alishatangulia. Poleni nurses wa Bake!!!!!!! Mliyataka wenyewe!!!!! Ushindani!!!