Ngd wanasheria na wataalamu wa Afya, inafahamika kuwa daktari anapomtibu mgonjwa huwa inabaki kuwa siri kati yake na mteja. Je, inapotokea kuwa Dr ametoa siri hiyo kwa watu wasiohusika anachukuliwa hatua gani?

hatua zinazoweza kuchukuliwa ni, 1.mgonjwa kumfungulia kesi ya madai dr.husika kutokana na madhara aliyopata baada ya siri kuvuja. 2.dr.husika anaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na uongozi wa hosp.husika na pia baraza la madaktari tz. hatua za kinidhamu zinaweza kupelekea dr.kufungiwa leseni yake ama kuwa suspended kwa muda flani n.k
Siri ya mgonjwa kisheria ni nini?mimi dokta nikisema manumba kalazwa hospitali yangu?au nikiwaambia nduguze ndugu yenu anaumwa malaria?kama ni hiv aids nikiwaambia?
Ngd wanasheria na wataalamu wa Afya, inafahamika kuwa daktari anapomtibu mgonjwa huwa inabaki kuwa siri kati yake na mteja. Je, inapotokea kuwa Dr ametoa siri hiyo kwa watu wasiohusika anachukuliwa hatua gani?
Ikiwa ametoa siri za mgonjwa kwa maslahi ya taifa hakuna case..! Imagine lijamaa linasambaza ngoma live kwa vitoto vigodo na ushahidi wa uhakika upo hapo mimi kama kama daktari napambana nalo pamoja na kulitangaza..!