Daktari ajinyonga na kufa ndani ya gesti huko morogoro

Huyu nae katua somo pia. Alienacho na kinafanya kazi sio rahisi kujua maumivu anayoweza kuyapata endapo kingegoma kupiga mzigo.
 
Sitaki kuamini kuwa amejinyonga kwa sababu "mashine" yake haifanyi kazi......!
 
Hivi karibuni wachaga wameiga sana mtindo wetu wahehe wa kujiua sijui ni kwa nini hasa

Ebu muone huyu mdau na mchango wake kweli JF ni kismi cha vituko na haviishi aiseee hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…