mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,336
Kampeni zikiwa zinaelekea ukingoni kuna baadhi ya sehemu tulitarajie ziwe na mshike mshike ,watu washambuliane ,magoli ya fungwe na media zionyeshe goal rush kama wafanyavyo Supersoport 3,
Mechi hizo ambazo zimekuwa kimya kuliko matarajio ya wengi ni hizi
1.Mbeya mjini
Sugu vs Tulia
2.Ubunge
Meya Jacob vs prof,Mkumbo
3.Singida kaskazin
Inghondu vs Nyalandu
4.Iramba magharibi
Mwigulu vs Jesca kishoa
Pia kuna
Muheza kwa mwanaFA
Mikumi kwa prof,jay
Tarime vijijini kwa heche
Busanda kwa shigongo
Tunduma kwa Lusinde
5.Morogoro mjini
Devotha minja vs Aboud
Nini kina endelea huko?
Mechi hizo ambazo zimekuwa kimya kuliko matarajio ya wengi ni hizi
1.Mbeya mjini
Sugu vs Tulia
2.Ubunge
Meya Jacob vs prof,Mkumbo
3.Singida kaskazin
Inghondu vs Nyalandu
4.Iramba magharibi
Mwigulu vs Jesca kishoa
Pia kuna
Muheza kwa mwanaFA
Mikumi kwa prof,jay
Tarime vijijini kwa heche
Busanda kwa shigongo
Tunduma kwa Lusinde
5.Morogoro mjini
Devotha minja vs Aboud
Nini kina endelea huko?