Dakika ya 42 ya mchezo

Hivi Lumumba kwa IQ zao ambazo huwa tunaziona siku zote humu jukwaani ,kuna uwekano wa kuelewa hii fasihi?Ngoja waje tuone vimbwanga .
Labda huko ufipa ndo mpo mazwazwa.hivi code nyepesi kama hizi zinatushinda nini?
Mrope- makamba
Mango man - member
Dick traitor - dictator
Nipo - Nape
N.k, n.k, n.k, ni upuuzi puuzi flani tu.
 
Daah, nimeipenda sana...Huyu DICK TRAITOR kanifurahisha sana alipoimalizia ile penalty.... Yaan kipa hakuna na bado anagonga mwamba...daah...Alafu naskia Timu za ulaya hazimpendi kabisa huyu mchezaji licha ya ufungaji wa magoli mengi....hivi ni kwann
 
Mjom
mjomba kongole KWA kazi maridhawa na mufti ya fasihi. Wewe ni mjuzi na mmanyi wa lugha.Waswahili walinena,"mwenye kushiriki moyo,asourudi mtima,hufa maji pondoima na kuondoka na kilema" Hivi karibuni DICK TRAITOR atajua usemi usemao,KILA MWACHA SAMBOYE HAFI ALIMWANAMAJI haudanganyi​
 
Unapoteza muda tu na vimafumbofumbo vyako hapo!
 
Dick anaamini timu nzima yeye peke yake ndio ana akili,ndio anajua Sana,halafu hajali hata Makocha waliomuamini na kumpa namba
 
Daah, nimeipenda sana...Huyu DICK TRAITOR kanifurahisha sana alipoimalizia ile penalty.... Yaan kipa hakuna na bado anagonga mwamba...daah...Alafu naskia Timu za ulaya hazimpendi kabisa huyu mchezaji licha ya ufungaji wa magoli mengi....hivi ni kwann
Ni kwa sababu mpira unaonyeshwa. Hivyo wanaona kinachoendelea.
 
Sasa naona KINZANI FC wanatolewa uwanjani kabisa. DICK TRAITOR anaona ni bora CHAKAVU FC wabaki peke yao uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…