Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,485
- 2,754
Lema ni nani nchi hii hadi waache shughuli zao wamfatilie? Wana Arusha walipata hasara.habar wakuu,kesho jumatatu katika kipindi kinachorushwa na itv cha dakika 45 atakuwepo katika mahojiano wazir kivul wa mambo ndani kamanda Godbless Lema ni matumaini yangu kamanda Lema atazungumza mambo mengi kuhusiana na mambo mbalimbal yanayohusu wizara ya mambo ya ndani likiwemo la Lugumi
Mzuri kwao..tehLema ni nani nchi hii hadi waache shughuli zao wamfatilie? Wana Arusha walipata hasara.
Lema ni nani nchi hii hadi waache shughuli zao wamfatilie? Wana Arusha walipata hasara.
Hana jipya,,,
vip mbona tumbo joto mkuu kulikonHuyu mwizi wa magari ataongea nini zaidi ya pumba tu
Uchungu umekupata baada ya kusikia Jina la LemaLema ni nani nchi hii hadi waache shughuli zao wamfatilie? Wana Arusha walipata hasara.
....habar wakuu,kesho jumatatu katika kipindi kinachorushwa na itv cha dakika 45 atakuwepo katika mahojiano wazir kivul wa mambo ndani kamanda Godbless Lema ni matumaini yangu kamanda Lema atazungumza mambo mengi kuhusiana na mambo mbalimbal yanayohusu wizara ya mambo ya ndani likiwemo la Lugumi
Kamuulize Nape!!Kipindi kitakuwa live au recorded?
....Natabiri kesho kutakuwa na mgao wa umeme kwanzia saa mbili usiku mpaka saa tano usiku nchi nzima