Mimi mara nyingi sana napiga hesabu za tabia kabla ya kupenda.
Yani nikisha ona tabia yake nzuri na tazama sasa family yake kabla ya tabia yake, na hasa na tazama wajomba zake....nikiona wajomba zake washenzi....napiga break nawacha wengine wa overtake.
Mimi ni Tabia+Family yake+uzuri kama anavyo hivyo basi anakuwa mke wangu.
Afu mwanamke anampenda mwanaume kitandani dogo, kama unapiga goli katika dakika 50 kwenda juu kama sisi hata shakira ata surrender kukata kiuno atasema hapo kafika.