jamani unataka michuzi alale njaa? na familia yake je?
wote waliosomea uandishi wa habari wanajua namna ya kupiga picha na kuzichambua picha za kupublish kuendana na msg wanayoitaka ifike. (bila kujifunga)
just get the msg and work from it. that is what happended!!!
Wakiwa wengi au kidogo bado ni wakaazi wa Dodoma....
Correctionnnnnnnnnn!Ni Wapenzi wa CCM waliosafirishwa kutoka Dar kuja kuishangilia CCM!
Kheeeee heeeeee heeee!Correctionnnnnnnnnn!Ni Wapenzi wa CCM waliosafirishwa kutoka Dar kuja kuishangilia CCM!
Haika nampongeza na kazi zake ila na yeye akubali kukosolewa, amekosea akisema SPICHI YA JK BUNGENI YAUNGWA MKONO DODOMA.
Wananchi wa Dodoma wako wapi hapo kama sio baadhi ya wakereketwa?
Ina maana hao ndio wakaazi wote wa Dodoma?
Hebu isome vizuri hio video, angalia wanaoshangilia yaani hata harusi yangu pale Mombo mwezi wa jana ilikua na watu wengi kushinda hao anaowaita watu wa Dodoma.
Kheeeee heeeeee heeee!
CCM haijafikia hatua hiyo, naona sasa umeamua kuandika ili kufurahisha jamvi na sio kusimamia ukweli kuwa hao na wakaazi wa Dodoma
MMh.. Kama ni kichaa basi ni kichaa bora mwenye kupendwa sana... BadoUkweli upi?Kwamba ni sawa kuandamana kumuunga huyo kichaa?Give me a break please!Wawe ni wakaazi wa Dodoma au la wahtaever they are doing is utter madness and does not need the endorsement hata ya muokota makopo huko mitaani!
MMh.. Kama ni kichaa basi ni kichaa bora mwenye kupendwa sana... Bado
Sijaona hao wakaazi wa Dar kwenye picha hii
Picture source: Michuzi blog
Kiasi wawe wengi kwenye arusi, kwani wapenda misosi ya dezo wapo wengi....yaani hata harusi yangu pale Mombo mwezi wa jana ilikua na watu wengi kushinda hao anaowaita watu wa Dodoma.
Kiasi wawe wengi kwenye arusi, kwani wapenda misosi ya dezo wapo wengi....