Dah! Warning Letter imemchanganya sana Eng Haizai Kamwelwe! Kwani hajajenga? Au bado anasomesha?

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Sikutegemea kama warning letter ingeweza kumchanganya kiasi hiki mwanasiasa mpendwa eng Haizai Kamwelwe..

Haya mambo yalitakiwa yamchanganye kijana anayeanza maisha, au mtu ambaye anasomesha na hajajenga.

Kwa uinjinia wake huo hata akioneshwa mlango wa kutokea kwani ataweza kukosa tenda za kujenga nyumba mitaa yote hii ya jiji ambayo ujenzi unaendelea kila kukicha?

Injinia, acha woga.. Chapa kazi.. Hayo mambo ni ya kawaida tu.

Maji ya moto yashapoa mzee wangu.
 
Sikutegemea kama warning letter ingeweza kymchanganya kiasi hiki mwanasiasa mpendwa eng Haizai Kamwelwe.. Haya mambo yalitakiwa yamchanganye kijana anayeanza maisha, au mtu ambaye anasomesha na hajajenga.
Kwa uinjinia wake huo hata akioneshwa mlango wa kutokea kwani ataweza kukosa tenda ya kujenga nyumba mitaa yote hii ya jiji ambayo ujenzi unaendelea kila kukicha?
Injinia, acha woga.. Chapa kazi.. Hayo mambo ni ya kawaida tu.
Maji ya moto yashapoa mzee wangu.
Hujaelewa kwamba ukitumbuliwa huachiwi uishi kwa raha, ingekuwa hivyo wengi wasingeogopa kutumbuliwa.

Sasa hivi ukitumbuliwa unafuatiliwa, unakuwa blacklisted na unaweza hata kutafutiwa kesi ya kubambikiwa.

Kuna Mkuu wa Mkoa kajiuzulu, rais anamsakama kama hakuwa na haki ya kujiuzulu.

Na huyo kajiuzulu, hajatumbuliwa.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Nani huyo boss.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom