"SIKUWAHI KUFANYA KAZI NA MTANZANIA"hyo lugha ya majivuno kuonyesha upo vizuri,kwani nani aliyekuuliza..jitahdi kujieleza vizuri and be humble kama kweli unaipenda career yakoView attachment 1559242
View attachment 1559243
Katika maisha yangu, tangu nianze kufanya kazi kama web developer sikuwahi kubahatika kufanya kazi na mtanzania yeyote mbali na ile task ndogo ya Mkaruka ambayo aliileta hapa jamvini inayohusu blog ya ajiraalert nb: mimi si mtegenezaji wa hiyo blog bali nilirekebisha tu kisehemu kidogo, ataeleza mkaruka mwenyewe akipenda, na hakuna hata siku moja niliwahi fuatwa PM na mtu serious kwa kazi ya web development, in majority nimebahatika kufanya na watu weupe tena remotely.
Kifupi tuache hisia zisizo na maana kwakuwa hatuna ushahidi, wapo watu wengi wamekuwa wakija pia PM nawasaidia bila malipo mahali walipokwama sasa kama kuna mtu niliwahi mtapeli kwa lolote alete ushahidi hapa, naomba Mod msimpigeban wala msifute chochote kutoka PM kitakacholetwa na wadau hapa.
Ahsanteni.
Mlolongo na chilubi I'm a real developer msisite kunitafuta popote pale kikazi zaidi mimi sio matthew
refer
Kwanini Ma IT bongo sio matajiri?
Poa ngoa niombe msamaha, Si ndio mtaka bana:
mathsjery naomba radhi kwa kufananisha jina lako na na Matthew. Kumbuka nimefananisha kwa sababu developer maarufu anayefahamika na jina lake lina Math... ni wewe hapo! Very sorry my friend.
Mjadala umeisha?
Kwakweli nimekosea nisameheni kwa hilo nilijaribu kufikisha ujumbe tofauti kidogo japokuwa ni kweli ila nimekosea let's cheer"SIKUWAHI KUFANYA KAZI NA MTANZANIA"hyo lugha ya majivuno kuonyesha upo vizuri,kwani nani aliyekuuliza..jitahdi kujieleza vizuri and be humble kama kweli unaipenda career yako
Ushauri wa bure, usipende kubadili hata herufi moja kwenye majina hasa topic ngumu kama hizi.
Ukitaka uchukue huu ushauri, ukitaka acha kuuchukua.
Hapo imekaa poa acha tuendelee kujenga taifa 😀Naona wadau mnanishambulia kinoma. Kisa mie kuuliza "kumbe fulani ni tapeli"
Hivi mfano nikauliza: "ina maana Mkaruka ni bondia?" Hapo hapo huyo Mkaruka anakua bondia? Hapana.
Naona mathsjery na group lako hapa mnapandwa jazba sizizokuwa na maana.
Poa ngoa niombe msamaha, Si ndio mtaka bana:
mathsjery naomba radhi kwa kufananisha jina lako na na Matthew. Kumbuka nimefananisha kwa sababu developer maarufu anayefahamika na jina lake lina Math... ni wewe hapo! Very sorry my friend.
Mjadala umeisha?
Out of Topic: Natafuta Honda Fit/Vitz new model/old model nzuri mazee. Bajeti yangu 4m to 5m.
Uko sahihi MkarukaMfano humu ndani kuna mimi Mkaruka , kuna mukaruka mzee na kuna mkaruka ataja rinu .
Sasa mtu akipiga tukio, kusingiziana siyo poa.
Mzee, alikuwemo mtu anaitwa Matthew humu labda awe amedelete account na kutengeza nyengine. sasa sijui kama ndio huyo mathsjery ama vipi. Ila mimi najua miaka hio huyu mtu akitumia ID ya matthew.Hakuna member anayeitwa/anayejiita Matthew humu jamiiforums. Hayupo!
project gani ulikua unataka ifanyike mkuu?? ukiachana na programming mm pia naweza ku invest kwenye idea naweza nikawa software engineer na co-founderMzee, alikuwemo mtu anaitwa Matthew humu labda awe amedelete account na kutengeza nyengine. sasa sijui kama ndio huyo mathsjery ama vipi. Ila mimi najua miaka hio huyu mtu akitumia ID ya matthew.
Nilikuwa na project nzito sana, nimeifanyia research ya kutosha, sio kwamba nilikosa mtu wa kunifanyia, ila nilitaka mtu awepo Tanzania ili iwe rahisi kuwasiliana nae nakutoa fursa maana nlijua kama ingefanikiwa saivi ingekuwa tuko mbali sana, nkaona nitoe chance kwa mtanzania mwenzangu maana nilitaka Tanzania ijulikane kuwa vichwa vipo, lakini alitokomea. Website aliiweka kwenye maintainance mode tu, hakuna alichokuwa akifanya. Kitenda chake cha kutumia wordpress kwenye hio project kilinipa mashaka sana, akataka kwanza nimpe laki 2, nkaona sio kesi laki mbili sio ishu ata ikipotea.
Afu jamaa akantambulisha kwa jamaa anaitwa Franc ambae alinambia anafanya kazi na fastercapital, mtandao ambao unatoa support kwa startup. Baada ya alichofanya, sikutaka kuendelea na huo mtandao nkajua huenda nao ukawa unaibiwa idea tu.
View attachment 1559797
Tatizo la kwetu bongo hatuko serious kabisa kwenye tech industry, unaweza kushare na mtu idea yako then akakusaliti na kuifanya yeye mwenyewe au pamoja na kukusaliti akakuacha njiani na yeye mwenyewe akashindwa kuendeleza ikawa mda unapotea tu.project gani ulikua unataka ifanyike mkuu?? ukiachana na programming mm pia naweza ku invest kwenye idea naweza nikawa software engineer na co-founder
Mimi ndio niliesema mtu mwenye ID ya Matthew ni tapeli. Yaonekana michango ya watu humu hata hukuisoma vizuri uliruka moja kwa moja. Soma kwa utulivu.Ni ujinga uliopitiliza kiwango kumshutumu mtu kisa majina yamefanana, nawashangaa wachangiaji wanaunga mkono huo utopolo, humu JF kunaye anajiita mk24 mimi natumia handle MK254 sasa usipokua makini utabebeshaa watu mzigo kisa jina limefanana.
Aliyetapiliwa aweke ushahidi la sivyo awajibishwe kwa kumharibia mwenzake jina.....
Unajifanyaga lijuaji, kumbe FALA tuNi ujinga uliopitiliza kiwango kumshutumu mtu kisa majina yamefanana, nawashangaa wachangiaji wanaunga mkono huo utopolo, humu JF kunaye anajiita mk24 mimi natumia handle MK254 sasa usipokua makini utabebeshaa watu mzigo kisa jina limefanana.
Aliyetapiliwa aweke ushahidi la sivyo awajibishwe kwa kumharibia mwenzake jina.....