Kweli siyo kila aliye jela ni mhalifu.Unachotakiwa kukifanya thibitisha kuwa wewe si tapeli..! Alasivyo unachokifanya ni kupunguza imani zaidi kwa watu!
Aliye tapeliwa ndiye anayetakiwa kuthibisha.Unachotakiwa kukifanya thibitisha kuwa wewe si tapeli..! Alasivyo unachokifanya ni kupunguza imani zaidi kwa watu!
Umesoma nilichoandika kwa sauti ya tofauti rudia kwa uyakinifuKweli siyo kila aliye jela ni mhalifu.
Kwamba mathsjery ni tapeli, aisee!!
Jamaa binafsi niko Dar na yeye yuko Mwanza na amenisaidia bure kabisa tena nilimpa details zangu muhimu kabisa.
Ninyi ndio huwa mnaharibu watu wema, labda kama umechanganya majina.
Siwezi thibitisha zaidi ya hapo, kwa kuwa hakuna aliyethibitisha utapeli wangu kwa evidence.
Itapendeza zaidi ndo maana nikasema tusifanye kwa hisiaUkisoma vizuri hiyo convo, chilubi kamtaja Matthew, Mlolongo akaibuka kwa kutaja kumbe mathsjery ni tapeli!
Chilubi akajibu kwamba kama hiyo ID ya Mathsjery ni ID nyingine ya Matthew, ndiyo.
Otherwise, kama hiyo ID ya Mathsjery siyo ya Matthew, basi siyo.
Mleta thread pitia vizuri.
Nafikiri Mlolongo anaweza kufafanua, kwa nini alimtaja Mathsjery wakati anayezungumziwa ni Matthew.
Huna akiliUmesoma nilichoandika kwa sauti ya tofauti rudia kwa uyakinifu
Ukisoma vizuri hiyo convo, chilubi kamtaja Matthew, Mlolongo akaibuka kwa kutaja kumbe mathsjery ni tapeli!
Chilubi akajibu kwamba kama hiyo ID ya Mathsjery ni ID nyingine ya Matthew, ndiyo.
Otherwise, kama hiyo ID ya Mathsjery siyo ya Matthew, basi siyo.
Mleta thread pitia vizuri.
Nafikiri Mlolongo anaweza kufafanua, kwa nini alimtaja Mathsjery wakati anayezungumziwa ni Matthew.
Huyo aliyetapeliwa alete ushahidi, tumalize mzizi ea fitinaHakuna member anayeitwa/anayejiita Matthew humu jamiiforums. Hayupo!
Hakuna member anayeitwa/anayejiita Matthew humu jamiiforums. Hayupo!
Huyo aliyetapeliwa alete ushahidi, tumalize mzizi ea fitina
Huyo aliyetapeliwa alete ushahidi, tumalize mzizi ea fitina
Inabidi amuombe msamaha jamaa maana anataka kumharibia jina bila sababu.Mkuu, hiyo topic ukiipitia vizuri, utaona kwamba Mlolongo alikurupuka kutaja ID tofauti na jina lililotajwa.
Mzee iko hivi....
Mtu akisema: " Kuna jamaa humu jamiiforums anaitwa Mkarukaa amenitapeli 40,000"
Kwa watu walio familiar na wewe Mkaruka moja kwa moja wata-link shutuma hizo na jina lako. Kwa sababu majina yanaendana sana, inawezekana mwandishi alikose spelling tu.
Na ikitokea jamiiforums hakuna member mwingine mwenye username inayofananana na wewe Mkaruka unategemea nini?
Mkarukaa -> Mkaruka
Bila shaka Mailman sasa unakubaliana na mimi. Asante.
Mfano humu ndani kuna mimi Mkaruka , kuna mukaruka mzee na kuna mkaruka ataja rinu .Mzee iko hivi....
Mtu akisema: " Kuna jamaa humu jamiiforums anaitwa Mkarukaa amenitapeli 40,000"
Kwa watu walio familiar na wewe Mkaruka moja kwa moja wata-link shutuma hizo na jina lako. Kwa sababu majina yanaendana sana, inawezekana mwandishi alikose spelling tu.
Na ikitokea jamiiforums hakuna member mwingine mwenye username inayofananana na wewe Mkaruka unategemea nini?
Mkarukaa -> Mkaruka
Matthew -> mathsjery
Bila shaka Mailman sasa unakubaliana na mimi. Asante.