Kitope JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 236 Reaction score 58 Dec 29, 2012 #1 Jamaa kaita taksi mwanawani. Jamaa: Kwenda eyapoti bei gani? Dereva taksi: Dollars 20 Jamaa: Na mizigo unakandamiza bei gani? Dereva: Mizigo inaenda bure. Jamaa: Basi we nenda na mizigo mi napanda daladala nakuja!!!!
Jamaa kaita taksi mwanawani. Jamaa: Kwenda eyapoti bei gani? Dereva taksi: Dollars 20 Jamaa: Na mizigo unakandamiza bei gani? Dereva: Mizigo inaenda bure. Jamaa: Basi we nenda na mizigo mi napanda daladala nakuja!!!!