Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,282
Kwa watoto wa mjini, hapa ndipo palikuwa mahali pao haswa pakuangalia movie.
Hapa sinema za mahaba ilikua mara chaaache, zilizotamba ni za 'Kung fu' za kina Bruce Lee, Bolo Yang, Angela Mao na sinema za kibabe za kina Gulian Gema na Lee van Cliff, Fred Williamson, Jim Brown na Ton King.
Ukichelewa kukata tiketi, utakutana na tiketi za 'black market', za kina marehemu Raja Kaka na wenzake.
Watoto wa Kuanzia Enzi Za Mwinyi Hawajui Haya Mambo
Sent using Jamii Forums mobile app