Dah! Picha inaongea

Zuhra na Elizabeth nawaona wakawaida tena sana!! Wanafaa tu kwa matumizi ila katika PISI kali hawapo hata top milioni.....Lakini siwaping Beauty is in the eye of beholder.
 
Huyu mama hajakeketwa....Bisha!
 
Hivi alishaolewa huyu? Am serious. Nataka nimuweke ndani kabisa huyu
 
Huyu Malkia Nampenda Mnoo japo kanipita Age!!

But age it's Number toooooooo!!!!!!!


Zuhura Nakupendaaaaaaaaaa[emoji177]
Toka hapa unanuka maziwa ww mtoto
Hivi ni vitu vyetu sisi malengendary
Tafuta size yako
 
Huyu anaonekana ana matege yale ya mama mdogo
 
Toka hapa unanuka maziwa ww mtoto
Hivi ni vitu vyetu sisi malengendary
Tafuta size yako
Mkuu Nina Robo Kaline ΒΌ 25 yrs bado nanuka maziwa tuu .[emoji849]
 
Zuhura yunus mzanzibari aliechangamka..
Nikajuaga Mimi tu ndo namuonaga mzuri kumbe Kuna wengine mnaumia kimyakimya..😜

Hiyo pete inaonesha ni mke wa mtu!!! Imekuwaje amekubali picha yake ianikwe hapo; au ameachika yuko sokoni?
 
Zuhura yunus mzanzibari aliechangamka..
Nikajuaga Mimi tu ndo namuonaga mzuri kumbe Kuna wengine mnaumia kimyakimya..😜

She is a beautiful woman but I am put off by the many rings on her fingers which indicate some kind of instability!!
 
Hiyo pete inaonesha ni mke wa mtu!!! Imekuwaje amekubali picha yake ianikwe hapo; au ameachika yuko sokoni?
Mwanahabari huyo wa bbc hivyo kuonekana kwenye kamera ndo kula yake so ni kitu Cha kawaida mabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…