Dah! Picha inaongea

Mama mwenye bikira yake!
Upo spidi sana boss.. ila uache uongo..🤣

Naona na wewe umechangamka huyo uliemuweka Kama avatar ndo wewe..? Huyo si Elizabeth mrama sijui wa TBC dada Yuko vizuri huyo yani acha tu niseme Mungu fundi hata zuhura hapa hafiki..😅
 
Napenda sana wanawake walio natural kama hivi unauona uzuri wao wa asili
 
Nasikia eti hakajabahatika kuolewa sasa sijui huo uzuri ni wa kazi gani
 
Kama anasoma hii Comment yangu aje Inbox.
Hizo picha zimepigwa na Mwanamke mwenzake.
 
HUYU BIBI ANAMCHANGANYA SANA MWAMBA,AU INAONEKANA MKUU NI BUTU HUYU ANAWAOGOPA MABINTI
Umetumia kigezo gani kusema mm ni butu nawaogopa mabinti??
 
Huyu Malkia Nampenda Mnoo japo kanipita Age!!

But age it's Number toooooooo!!!!!!!


Zuhura Nakupendaaaaaaaaaa[emoji177]
 
Kwenye interview yake alisema 'Am single But NOT Available '
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…