huko ndio sintoelewa kitu bila kufundishwa,nakumbuka kuna mzee mmoja alikuwa ananifundisha kiingereza akaniambia ya kwamba neno lolote la kiingereza ukiona linaishia na herufi ER ina maana mtu ndiye anayefanya kile kitendo mfano.
1.kick =kickER mpiga teke.
2.walk-walkER mtembeaji
3.fight=fightER mpiganaji.
Nikamuuliza mwalimu je,maneno haya WATER,SUPER NA POWER yana maana gani?
Akaniambia hiko ni kiingereza cha zamani yeye hajakisoma,basi mpaka leo hajanifundisha lolote lile.
Nalog off