Dah! Narudi home nakuta vibaka washafanya yao

Shida yetu sisi wa TZ hasa wa uswazi tunawajua wezi na hatudeal nao.Mm mwenyewe nimewai kuibiwa mchana kweupe kabisa mpaka nkasema kwan majirani hawakuona mbona sina bifu nao yan tunaish aman aman.Nilienda polisi nikaishia kupata rb na lose report ya vyeti vyangu tu,na hata vyeti vyenyewe sikufatiliaga.Wezi wanarudisha watu nyuma na muda mwingine nikikuta wanapigwa nawaonea huruma hata kupiga naogopa kabisa.Pole sana
 
Uswazi bana raha sana ,ukivusha demu hata iwe saa nane usiku watajua ila ukiibiwa saa nane hiyohiyo mchana hawataki kujua na wala kukupa ushirikiano.Tabia hii ya unafiki ilishawahi kunifanya nikatembeza kichapo kwa majirani kama kumi yani mpaka polisi wanakuja kufika eneo la tukio hali ilikuwa hailezeki.Nilikuwa nikimuamsha jirani asipofungua napita na mlango na nikiingia ndani ni kichapo mpaka watoto,kama una kabati ya vyombo ni kuangusha chini maadamu wote tupate hasara.Tatizo la mijini ni watu kujifanya wajuaji na wanafiki,mimi hilo nilishakataa.Binafsi kabla ya kuoa hata kama nimeanika nguo na ikatokea mvua ikanyesha sipo,nikirudi nikakuta nguo zangu zimenyeshewa ujue jirani utapata shida.
Kwa mfano dsm hata kama nyumba umeiona mwenyewe na unataka kuipanga ,mwenye nyumba atakuuliza kama umeanzia kwa dalali,na kama haujaanzia huko hupewi nyumba ,kama siyo unafiki na ushamba ni nini?
 
Wadau hii kitu inatia sana stress natoka mihangaiko sijala toka asubui, nafika home wamebeba kila kitu wamesombelea kama vyao yaani ovaaa walikuja na fuso la kubeba, njaaa imekata yaan sijielew apa ovaa naota yaan.

Yaani nyie wez mlicho nifanya mnaniludisha kwenye zero yaan af nilikuwa kwenye mikakati ya kuoa asa jaman kweli dah aina noma lakin fresh tu mbona
Pole sana bro
 
Tatizo vijana hamjali ulinzi wa maeneo yenu! Mpo mpo tu!

Si ajabu ulikuwa club au disco unafanya ufuska tupu huku chumba chako hakina hata kufuli!

Jifunze mbinu za kiusalama!

Mmejaa ubishoo ubishoo tu na kuwa irresponsible!

Acha wawaibie tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uswazi bana raha sana ,ukivusha demu hata iwe saa nane usiku watajua ila ukiibiwa saa nane hiyohiyo mchana hawataki kujua na wala kukupa ushirikiano.Tabia hii ya unafiki ilishawahi kunifanya nikatembeza kichapo kwa majirani kama kumi yani mpaka polisi wanakuja kufika eneo la tukio hali ilikuwa hailezeki.Nilikuwa nikimuamsha jirani asipofungua napita na mlango na nikiingia ndani ni kichapo mpaka watoto,kama una kabati ya vyombo ni kuangusha chini maadamu wote tupate hasara.Tatizo la mijini ni watu kujifanya wajuaji na wanafiki,mimi hilo nilishakataa.Binafsi kabla ya kuoa hata kama nimeanika nguo na ikatokea mvua ikanyesha sipo,nikirudi nikakuta nguo zangu zimenyeshewa ujue jirani utapata shida.
Kwa mfano dsm hata kama nyumba umeiona mwenyewe na unataka kuipanga ,mwenye nyumba atakuuliza kama umeanzia kwa dalali,na kama haujaanzia huko hupewi nyumba ,kama siyo unafiki na ushamba ni nini?
 
Uswazi bana raha sana ,ukivusha demu hata iwe saa nane usiku watajua ila ukiibiwa saa nane hiyohiyo mchana hawataki kujua na wala kukupa ushirikiano.Tabia hii ya unafiki ilishawahi kunifanya nikatembeza kichapo kwa majirani kama kumi yani mpaka polisi wanakuja kufika eneo la tukio hali ilikuwa hailezeki.Nilikuwa nikimuamsha jirani asipofungua napita na mlango na nikiingia ndani ni kichapo mpaka watoto,kama una kabati ya vyombo ni kuangusha chini maadamu wote tupate hasara.Tatizo la mijini ni watu kujifanya wajuaji na wanafiki,mimi hilo nilishakataa.Binafsi kabla ya kuoa hata kama nimeanika nguo na ikatokea mvua ikanyesha sipo,nikirudi nikakuta nguo zangu zimenyeshewa ujue jirani utapata shida.
Kwa mfano dsm hata kama nyumba umeiona mwenyewe na unataka kuipanga ,mwenye nyumba atakuuliza kama umeanzia kwa dalali,na kama haujaanzia huko hupewi nyumba ,kama siyo unafiki na ushamba ni nini?
dah mkuu,kama sio chai basi wewe ni kiboko aisee.

binafsi natafuta mganga just incase nimtie mtu kichaa,lakini wanajinadi kutibu nguvu za kiume pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom