Dah! Narudi home nakuta vibaka washafanya yao

francis kibiki

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
477
516
Wadau hii kitu inatia sana stress natoka mihangaiko sijala toka asubui, nafika home wamebeba kila kitu wamesombelea kama vyao yaani ovaaa walikuja na fuso la kubeba, njaaa imekata yaan sijielew apa ovaa naota yaan.

Yaani nyie wez mlicho nifanya mnaniludisha kwenye zero yaan af nilikuwa kwenye mikakati ya kuoa asa jaman kweli dah aina noma lakin fresh tu mbona
 
wadau hii kit inatia sana stress natoka mihangaiko sijala toka asubui, nafika hom wamebeba kila kitu wamesombelea kama vyao yaan ovaaa walikuja na fuso la kubeba, njaaa imekata yaan sijielew apa ovaa naota yaan. Yaan nyie wez mlicho nifanya mnaniludisha kwenye zero yaan af nilikuwa kwenye mikakati ya kuoa asa jaman kweli dah aina noma lakin fresh tu mbona

kama bachera tafuta sehemu ina watu wanaishi na hawa kauki nyumba hiyo.una mke una familia alafu unatafuta upande kimara,tabata,kigamboni,tegetea n.k.hata kama hupo wanajipendelea koooona


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom