Nice,mti wenye matunda ndio unaopigwa maweUkipaa sana juu kila mtu anakuona kwa kuinua tu macho hivyo pia kwa wale wabaya wanapata target, huku chini mbanano ni mkubwa! Umchukiaye hata ukiinua macho humuoni maana mko kwenye ground moja, kiba bado haonekani, akianza kupaa kama Mondi basi atapigwa mawe nae.
Bahati nzuri Jamaa(Mondi) anakusanya hayo mawe kwa upole na unyenyekevu na kujenga hekalu kwa kutumia hayo mawe!Nice,mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
well said broBahati nzuri Jamaa(Mondi) anakusanya hayo mawe kwa upole na unyenyekevu na kujenga hekalu kwa kutumia hayo mawe!
kwa kiswahili au ki Kuwait?Tafsiri kwa kiswahili
Yupo,anatumia id flani hivi....niitaje?Hivi huyo Mange yupo humu JF
Hahaha itaje nimtafuteYupo,anatumia id flani hivi....niitaje?
Naogopa BAN ila ipo,inaishia na 1Hahaha itaje nimtafute
anhaaa kumbeNaogopa BAN ila ipo,inaishia na 1
KUMBE NINI?anhaaa kumbe