Dah! Mkulima ndiye amesababisha ndege ya Tanzania ikamatwe Afrika Kusini - Reuters

Ninyi ubepari umewafanya wazungu washike ardhi yote yenye rutuba mmeachwa jangwa linalokuza mbigiri na miiba tu huku mkiendelea kufa njaa mzungu anazidi Kutengeneza billions of dollers kutoka kwenye maua
 
yaani kama wakenya wote wana akili au kufikiri kama wewe MOLA atusaidie watanzania kila kitu unapenda ujuaji na kubishana jumlisha kujikweza tuliza akili mzee nchi kuw na natatizi ya madeni kawaida kwani wakenyvsi kun nchi za asia zinawadi mno na hata hamuwezi furukuta ulishawahi kuona nyuzi humu learn learn....
 
Mkulima kawa bilionea ghafla
 
KEYWORDS:
...Uchaga
---kuchinja mmoja mmoja
....nawakuchukia sana
Haya tutaona mwisho wake ni nani atalia, familia yako inapokukosa au hao unao wachukia sana hadi sasa nuataka kuwachinja...

Haya mkuu tutaona
 
Alafu ile ardhi yenye rutuba nzuri wanalima maua
.
Ninyi ubepari umewafanya wazungu washike ardhi yote yenye rutuba mmeachwa jangwa linalokuza mbigiri na miiba tu huku mkiendelea kufa njaa mzungu anazidi Kutengeneza billions of dollers kutoka kwenye maua
 
Naona wakenya weengi wakishangilia kukamatwa kwa moja ya ndege ya shirika la Air Tanzania huko nchini Afrika kusini kutokana na deni la muongo kadhaa huko nyuma kutoka kwa aliuekuwa mkulima nchini Tanzania.

Sasa basi, waliokuwa wafanyakazi wa sokoduka kubwa a.k.a supermarket iliyojulikana Nakumart na Uchumi nchini Tanzania wanapanga mbinu kama za mkulima wa afrika kusini kuwa ndege ya KQ ikishuka bongo ishikiliwe kwa sababu na wao wana madeni wanayodai..!!
 
Asee
 
Did that farmer buy the land or he's one of the colonial land grabbers seeking illegal compensation??
 
Haya sasa ndio hizo pesa zimeenda , the Tanzanian proverbial swan song of "tumenunua na pesa zetu za ndani" has met with brutal karma.
 
Kama ni deni stahiki, litalipwa tu, Serikali ina vyanzo vingi vya mapato.

Tutalipa hata kwa ile pesa na dhahabu iliyorudishwa na U. Kenyata recently, acha kucheza, pesa ipo mingi
Haya sasa ndio hizo pesa zimeenda , the Tanzanian proverbial swan song of "tumenunua na pesa zetu za ndani" has met with brutal karma.
 
Pwahahahahahahahahahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Sasa tunangoja ATL inanzishe safari za kule UK, huko nako kina naona kina acacia gold wakienda mahakamani kuzulia ndege kama vile Canada walivyofanya... Itabidi kuanzia sasa ATCL wakipanga kuanzisha safari za nchi za Kigeni wanaulizia serekali yao kama Tz ina deni na hio nchi..
 
Yaaaani hili lidege linawatekenya tekenya WAKENYA sehemu zote zote
Sikiliza nyie mnazo ndege za kupora EAC miaka ile... Siye tunazo classic New hata hiyo tunaweza tukawazilia

More evil gets done in the name of righteousness than any other way. Lipeni madeni
 

Deni ni la serikali ya Tanzania.
Ndege ni ya serikali ya Tanzania.

Nakumatt uliskia wapi ni ya serikali ya Kenya?
KQ pia ina wamiliki mbali mbali, KLM ya Netherlands ikiwa inaongoza.
Kwa nini ukamate ndege ya asiyejua wala kuhusika na vita zenu?

Huu upungufu wa akili ndio umefanya Tanzania ibaki LDC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…