David Peter Sembosi
Member
- Jun 29, 2013
- 38
- 1
Kwa uchunguzi nilioufanya,nimegundua kwamba ofisi nyingi za serikali mfano,Ofisi za kata,Wilaya n.k zimepakwa rangi ya bendera ya Chama Cha Mapinduzi.Sasa napenda kuuliza swali ya kwamba,Ina maanda mwaka 2015 chama kingine kikiingia madarakani nacho kitajenga ofisi zenye rangi za bendera yao?