Dah! Kweli akili ni nywele.!

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,652
Kuna msukuma mwenzangu huku nilipo,ni tajiri sana wa ng'ombe mzee huyu haja soma hata lile darasa la popo hata kiswahili cha kuombea maji hajui ila humdanganyi kitu katika kujua hesabu ya ng'ombe zake. Cha mno zaidi mzee huyu kahifadhi namba za simu za watu wengi kichwani.juzi nilikutana nae na kumuliza kama anayo namba ya simu ya -- akaniambia anayo na kuanza kunitajia kwa kisukuma akimanisha; ;ya kwanza ipo kama yai(0) ya pili kama fyekeo (7) ya tatu kama mashikio ya mkasi (8) ya nne kama mtu kachuchumaa (4) na....mzee alitaja mpaka namba zote kwa mtindo huo.
 
Duh!! Dingi nomaaa!! Hapo akitaka kusema kumi atasema, NIKAMA MTU ALIESIMAMA WIMA AKIWA AMESHIKILIA YAI!!!
 
Duh!! Dingi nomaaa!! Hapo akitaka kusema kumi atasema, NIKAMA MTU ALIESIMAMA WIMA AKIWA AMESHIKILIA YAI!!!

hahahaaa! Yaani ukimuuliza amezaliwa mwaka gani anakuambia nilizaliwa kipindi kileee ambacho tembo walipovamia kijiji chetu.hapo utajaza mwenyewe ilikuwa lini.
 
Hongera kwa kutafsiri ni wachache wa ivyo uyo mzee ni sawa na Compyuta kasoro Rugha

sana tu,hawa wazee ndo wale wanaotunukiwagwa nafasi za kazi katika mahakama kama wazee wa mahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…