A Arnold Ndosi Member Joined Aug 14, 2012 Posts 65 Reaction score 4 Oct 30, 2012 #1 hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel:
StayReal JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 518 Reaction score 147 Oct 31, 2012 #2 Komaa tu mkuu si umeamua kusoma!
Boniphace17 Senior Member Joined Jul 19, 2012 Posts 118 Reaction score 42 Oct 31, 2012 #3 acha kelele cku 2 tu! ushaanza matangazo!hujui km sem5 kuna mzik mnene! acha kimbelefront dogo.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,587 Reaction score 28,750 Oct 31, 2012 #4 Utakua unasoma COET wewe.........
H Hardman JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 750 Reaction score 526 Oct 31, 2012 #5 Arnold Ndosi said: hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel: Click to expand... watu walotoka shule za kishua utawajua tu
Arnold Ndosi said: hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel: Click to expand... watu walotoka shule za kishua utawajua tu
The Don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,499 Reaction score 1,174 Oct 31, 2012 #6 Za kishua wapi?huyu jamaa wa matombo,anachotaka ni kujionyesha naye yupo ud,haya tumeshajua,ajipange aache kelele ka mtoto wa kike Hardman said: watu walotoka shule za kishua utawajua tu Click to expand...
Za kishua wapi?huyu jamaa wa matombo,anachotaka ni kujionyesha naye yupo ud,haya tumeshajua,ajipange aache kelele ka mtoto wa kike Hardman said: watu walotoka shule za kishua utawajua tu Click to expand...
Mapondela JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 454 Reaction score 85 Oct 31, 2012 #7 StayReal said: Komaa tu mkuu si umeamua kusoma! Click to expand... kwani uliambiwa unakwenda holiday?
StayReal said: Komaa tu mkuu si umeamua kusoma! Click to expand... kwani uliambiwa unakwenda holiday?
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Oct 31, 2012 #8 Arnold Ndosi said: hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel: Click to expand... kwa mtindo huu hata kama upo chuo nna wasi wasi sana na elimu yako!! yani hujui kuandika?? afu uko chuo...yale ya ya watoto wa primary walioingia form one na kuandika hawajui kumbe mpaka chuoni wapo?? kajipange kijana!!
Arnold Ndosi said: hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel: Click to expand... kwa mtindo huu hata kama upo chuo nna wasi wasi sana na elimu yako!! yani hujui kuandika?? afu uko chuo...yale ya ya watoto wa primary walioingia form one na kuandika hawajui kumbe mpaka chuoni wapo?? kajipange kijana!!
D dy/dx JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 613 Reaction score 112 Nov 1, 2012 #9 mwacheni ni first year b ado hajazoea
L Lugano5 R I P Joined Jul 15, 2010 Posts 4,520 Reaction score 759 Nov 2, 2012 #10 dogo una kiherehere sana kama mke wa balozi...una mtangazia nani ambae hajui kupiga msuli
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,145 Nov 2, 2012 #11 tumekusikia mama!!!